JATU NA HISA
#repost @jatu_plc ・・・ #RIPOTI YA SIKU YA MWENENDO WA HISA ZA JATU PLC KATIKA SOKO LA …
Jifunze ujasiriamali kupitia jicho la ujsiriamali Tanzania
Jicho la ujasiriamali ni sehemu ya kujifunza ...................
Wekeza katika maarfa ya kijasiriamali, Jenga akili yako kwa madini ya kijasiriamali ili kutimiza màlengo na ndoto zako.
Jifunze maarifa mapya kila siku kupitia blog yetu, kusoma vitabu, semina mbalimbali za kijasiriamali, na makongamano ya kijasiriamali.
Badili muonekano wako kifkra vunja minyororo ya utumwa unanguvu ya kutenda miujiza "mtu ajionavyo ndivo anavokuwa". Wewe ni mshindi na kiongozi wa maisha yako pigania ndoto yako.
Usikose kutembelea kurasa za jicho la ujasiriamali kila siku kuipa akili madini.
#repost @jatu_plc ・・・ #RIPOTI YA SIKU YA MWENENDO WA HISA ZA JATU PLC KATIKA SOKO LA …
Ukijifunza kusikiliza, utajiepusha na makasiriko na kugombana na watu maishani. Jifun…