Ukijifunza kusikiliza, utajiepusha na makasiriko na kugombana na watu maishani. Jifunze kuwasikiliza watu kwa maneno yao, kwa hisia zao, na kusikiliza maana zilizojificha katika ishara zao. Kusikiliza ni stadi na ni sanaa ndio maana wanaosikia ni wengi, wanaosikiliza ni wachache.

Billionaire Michael 2030🌍